• HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2023

  YANGA PRINCESS YATOA TISA, SIMBA QUEENS WANNE TWIGA STARS


  KOCHA Bakari Shime ameita wachezaji tisa wa Yanga Princess na wanne wa Simba Queens kuunda kikosi cha timu ya taifa ya taifa, Twiga Stars kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Kenya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA PRINCESS YATOA TISA, SIMBA QUEENS WANNE TWIGA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top