• HABARI MPYA

    Thursday, March 30, 2023

    CHAMA ANAONGOZA KWA MABAO LIGI YA MABINGWA


    KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama anaongoza kwa 
    ufungaji wa mabao kuelekea mechi za mwisho za hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika wikiendi hii.
    Chama hadi sasa amefunga mabao manne sawa na Glody Makabi Lilepo wa Al Hilal ya Sudan na wote wana pasi mbili za mabao kila mmoja.

    Player

    Team

    G

    P

    1st

     Simba

    4

    1

    2

     HilalOmdurman

    4

    1

    2

     Ahly

    3

    0

    1

     Raja

    3

    0

    3

     Mamelodi

    3

    0

    1

     Mamelodi

    3

    0

    2

     Simba

    2

    0

    0

     Tunis

    2

    0

    2

     Raja

    2

    0

    1

     Merreikh

    2

    2

    2

     Simba

    2

    0

    0

     Ahly

    2

    0

    2

     Mamelodi

    2

    0

    1

     Horoya

    2

    0

    2

     Raja

    2

    0

    1


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHAMA ANAONGOZA KWA MABAO LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top