• HABARI MPYA

  Saturday, March 18, 2023

  DK MSOLLA AREJEA KWENYE KOCHA BAADA YA KUONDOKA YANGA


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akimkabidhi cheti aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa KLABU ya Yanga, Dk. Mshindo Msolla cha kuhitimu Kozi ya maboresho (Refresher) CAF A Diploma iliyomalizika leo kwenye Kituo cha Ufundi cha TFF kilichopo Mnyanjani, Tanga.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DK MSOLLA AREJEA KWENYE KOCHA BAADA YA KUONDOKA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top