• HABARI MPYA

  Tuesday, March 21, 2023

  NYOTA WA YANGA NA FEI TOTO WAWASILI CAIRO KUIVAA UGANDA


  WACHEZAJI wa Yanga SC tayari wamewasili Misri wakiwa na Feisal Salum kujiunga na timu ya taifa, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa Kundi F Kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda Ijumaa
  Uwanja wa Suez Canal Jijini Ismailia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA YANGA NA FEI TOTO WAWASILI CAIRO KUIVAA UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top