• HABARI MPYA

  Wednesday, March 22, 2023

  YANGA PRINCESS YATOA SARE 1-1 NA SIMBA QUEENS


  MECHI ya watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara imemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1, Simba Queens wakitangulia kwa bao la Jentrix Shikangwa kabla ya Yanga Princess kusawazisha kupitia kwa Wogu Chioma Uwanja wa Uhuru Jijijni Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA PRINCESS YATOA SARE 1-1 NA SIMBA QUEENS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top