• HABARI MPYA

  Friday, March 31, 2023

  WAZIRI DK PINDI AWAKABIDHI BENDERA FOUNTAIN GATE KWENDA AFRIKA KUSINI


  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana leo amekabidhi Bendera ya Taifa kwa  Nahodha Timu ya Fountain Gate, Beatrice Charles inayokwenda nchini Afrika Kusini kwenye  Mashindano ya Afrika ya  Soka la Wanawake  kwa Shule za Sekondari.

  Mashindano ya yanatarajiwa kufanyika Mwezi Aprili, 2023 na Fountain Gate ndiyo wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki na Kati - CECAFA katika michuano hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI DK PINDI AWAKABIDHI BENDERA FOUNTAIN GATE KWENDA AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top