• HABARI MPYA

  Saturday, March 25, 2023

  JKT TANZANIA YAICHAPA TRANSIT CAMP 1-0


  TIMU ya JKT Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya Championship baada ya kuichapa Transit Camp bao 1-0 leo Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
  Kwa ushindi huo, JKT inafikisha pointi 56 na kuendelea kuongoza ligi hiyo kwa pointi saba zaidi ya Kitayosce baada ya wote kucheza mechi 23, wakati Pamba SC yenye pointi 47 za mechi 22 ni ya tatu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JKT TANZANIA YAICHAPA TRANSIT CAMP 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top