• HABARI MPYA

  Monday, March 20, 2023

  MSUVA NAYE TAYARI YUPO CAIRO ANAWASUBIRI KWA HAMU UGANDA


  MSHAMBULIAJI wa Al-Qadsiah FC ya Saudi Arabia tayari yupo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuelekea mchezo dhidi ya Uganda Ijumaa Jijini Cairo nchini Misri kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA NAYE TAYARI YUPO CAIRO ANAWASUBIRI KWA HAMU UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top