• HABARI MPYA

  Thursday, March 23, 2023

  STUMAI, GRACE WAWASHINDA WAMALAWI DAR


  BONDIA Stumai Muki amemshinda kwa pointi Chimwemwe Banda wa Malawi katika pambano lisilo la ubingwa jana ukumbi wa Ubungo Plazza Jijini Dar es Salaam.

  Bondia mwingine wa kike wa Tanzania, Grace Mwakamele alimshinda kwa pointi pia Luckia Ali wa Malawi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STUMAI, GRACE WAWASHINDA WAMALAWI DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top