• HABARI MPYA

  Tuesday, March 21, 2023

  TFF KUFANYA MTIHANI WA UWAKALA WA WACHEZAJI APRILI 19


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza mtihani wa uwakala wa wachezaji wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) ambao utafanyika Aprili 19, mwaka huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF KUFANYA MTIHANI WA UWAKALA WA WACHEZAJI APRILI 19 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top