• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2023

  DENNIS NKANE AANZA MAZOEZI YANGA SC


  WINGA chipukizi wa Yanga SC, Dennis Nkane leo ameanza mazoezi baada ya kuwa nje tangu Desemba 20 alipoumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Yanga inajiandaa na mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Monastir ya Tunisia Uwanja wa Mkapa, ikihitaji ushindi kujihakikishia tiketi ya Robo Fainali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DENNIS NKANE AANZA MAZOEZI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top