• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2023

  SERIKALI YAONGEA NA WATURUKI WAJENGE VIWANJA VYA MICHEZO NCHINI


  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya ya ujenzi ya SUMMA yenye makao yake makuu nchini Uturuki.
  Mazungumzo hayo yalihusu ujenzi wa viwanja vya michezo kwa lengo la kujadilii uendelezaji wa viwanja vya michezo na ujenzi wa viwanja vipya hapa nchini.
  Kampuni ya SUMMA imejenga viwanja vya michezo katika nchi mbalimbali duniani zikiwemo Rwanda, Senegal na Ivory Coast.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERIKALI YAONGEA NA WATURUKI WAJENGE VIWANJA VYA MICHEZO NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top