• HABARI MPYA

  Friday, March 10, 2023

  OPA CLEMENT AANZA KAZI KLABU MPYA UTURUKI

   

  KLABU ya Besiktas ya Uturuki imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Opa Clement kuwa mchezaji wake mpya kutoka Simba Queens ya nyumbani, Dar wa Salaam na amekwishajiunga nayo na kuanza mazoezi tayari kuonyesha cheche zake kwenye Ligi ya Wanawake Uturuki.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OPA CLEMENT AANZA KAZI KLABU MPYA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top