SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF) kwa kushirikiana na Kampuni ya Sheria Ngowi, wameingia Mkataba wa Ushirikiano wa Kibiashara na Benki ya CRDB, kwa ajili ya Kudhamini Utengenezaji wa Jezi na Vifaa vya Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) kwa Muda wa miaka mitano.
0 comments:
Post a Comment