• HABARI MPYA

  Sunday, March 19, 2023

  KOCHA MPYA TAIFA STARS AKITETA NA KAPOMBE NA TSHABALALA


  KOCHA mpya wa timu ya taifa, Mualgeria Adel Amrouche akizungumza na mabeki wa Simba SC, Shomari Kapombe (katikati) na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (kushoto) baada ya mchezo baina ya klabu yao na Horoya ya Guinea Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Amrouche amezua mijadala mingi baada ya kutowajumuisha wawili hao kwenye kikosi chake kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda wiki ijayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA TAIFA STARS AKITETA NA KAPOMBE NA TSHABALALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top