• HABARI MPYA

  Sunday, March 19, 2023

  TAIFA STARS YAIFUATA UGANDA MECHI YA KUFUZU AFCON


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa kwenye ndege wakati wa safari ya kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya wenyeji, wahamiaji Uganda Ijumaa Jijini Cairo.   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS YAIFUATA UGANDA MECHI YA KUFUZU AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top