• HABARI MPYA

  Tuesday, March 28, 2023

  KAPTENI MPYA, MBAPPE AIONGOZA UFARANSA KUSHINDA TENA

  BAO pekee la Benjamin Pavard dakika ya 50 jana liliipa Ufaransa ushindi wa pili mfululizo 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland Uwanja wa Aviva mjini Dublin katika mechi ya Kundi B kufuzu Euro 2024.
  Ulikuwa mchezo wa pili mfululizo timu ikicheza na kushinda chini ya Nahodha mpya, Kylian Mbappe baada ya Machi 24 kuichapa Uholanzi 4-0 kwenye mechi ya kwanza ya kundi hilo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPTENI MPYA, MBAPPE AIONGOZA UFARANSA KUSHINDA TENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top