• HABARI MPYA

  Wednesday, March 29, 2023

  MUDATHIR YAHYA BADO YUPO YUPO SANA YANGA


  RAIS wa Yanga SC, Hersi Ally Said (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu kiungo Mzanzibari, Mudathir Yahya Abbas baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. 
  Mudathir Yahya alisajiliwa Yanga katika dirisha dogo mwezi Januari kwa mkataba wa hadi mwisho wa msimu, lakini kwa kazi nzuri ndani ya miezi mitatu tu ameboreshewa mkataba Jangwani. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUDATHIR YAHYA BADO YUPO YUPO SANA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top