• HABARI MPYA

  Sunday, March 19, 2023

  SIMBA SC WALIPOKABIDHIWA MILIONI 35 ZA RAIS SAMIA


  WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana akimkabidhi Nahodha wa Simba SC, John Bocco Sh. Milioni 35 za ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kila bao lililofungwa kwenye ushindi wa 7-0 mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIPOKABIDHIWA MILIONI 35 ZA RAIS SAMIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top