• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2023

  NAHODHA YANGA AANZISHA TAASISI KUSAIDIA WASIOJIWEZA


  NAHODHA wa Yanga SC, beki Bakari Nondo Mwamnyeto ameunda taasisi yake ambayo leo imetoa misaada kwa watoto yatima na walemavu wa macho.
  "Tunamshukuru Mungu kuwatembelea watu wenye uhitaji katika jamii lengo ni kuwasaidia na kukidhi haja zao. Mungu alichotupa na sisi tunawapatia wenzetu hata kama ni kidogo, tunagawana nao," amesema Mwamnyeto aliyeongozana na rafiki yake na mchezaji mwenzake wa Yanga, Zawadi Mauya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAHODHA YANGA AANZISHA TAASISI KUSAIDIA WASIOJIWEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top