• HABARI MPYA

  Tuesday, March 21, 2023

  JONESIA KUCHEZESHA SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS KESHO


  REFA mzoefu na wa Kimataifa, Jonesia Rukyaa wa Kagera ndiye atachezesha mechi ya watani wa jadi, Simba Queens na Yanga Princess Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara kesho kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JONESIA KUCHEZESHA SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top