• HABARI MPYA

  Sunday, March 26, 2023

  BODI YAKETI FARAGHA NA HERSI, MANGUNGU NA WENZAO


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imekutana na Wenyeviti wa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara kujadili masuala mbalimbali yahusuyo maendeleo ya Ligi hiyo.
  Kikao hicho kimefanyika leo Machi 26, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa TPLB uliopo Ilala, Dar es Salaam na miongoni mwa waliohudhuria ni Rais wa Yanga, Hersi Ally Said na Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Ally Mangungu.  Alikuwemo pia Mwenyekiti wa Azam FC, Nassor Idrisa ‘Father’ (kulia) ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YAKETI FARAGHA NA HERSI, MANGUNGU NA WENZAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top