• HABARI MPYA

  Wednesday, March 22, 2023

  LIGI DARAJA LA KWANZA WANAWAKE KUFANYIKA MWANZA


  LIGI Daraja la Kwanza wanawake Tanzania Bara inatarajiwa kuanza Aprili 12 hadi 25 mwaka huu katika viwanja vya Alliance Jijini Mwanza, ikishirikisha jumla ya timu 16, ingawa rartiba itatoka baadaye.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI DARAJA LA KWANZA WANAWAKE KUFANYIKA MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top