• HABARI MPYA

  Monday, March 20, 2023

  MAPRO WA ULAYA SAFARI KAMBINI TAIFA STARS


  WCHEZAJI wa Tanzania wanaocheza Ubelgiji, kutoka kulia Mbwana Samatta (KRC Genk), Novatos Dismass (Zulte Weregem) na Kelvin John (KRC Genk) wakiwa kwenye ndege kwenda kujiunga na timu yao ya taifa, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Uganda Ijumaa Jijini Cairo nchini Misri.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAPRO WA ULAYA SAFARI KAMBINI TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top