• HABARI MPYA

  Sunday, March 19, 2023

  CHELSEA YALAZIMISHWA SARE NA EVERTON 2-2 DARAJANI


  WENYEJI, Chelsea FC jana wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea yalifungwa na Joao Felix dakika ya 52 na Kai Havertz kwa penalti dakika ya 76, wakati ya Everton yamefungwa na Abdoulaye Doucouré dakika ya 69 na Ellis Reco Simms dakika ya 89.
  Kwa matokeo hayo,  Chelsea inafikisha pointi 38 katika mchezo wa 27 na kusogea nafasi ya 10, wakati Everton sasa ina pointi 26 za mechi 28 nafasi ya 15. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHWA SARE NA EVERTON 2-2 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top