• HABARI MPYA

  Wednesday, March 22, 2023

  CHAMA ASHINDA BAO BORA LA WIKI AFRIKA


  BAO la mpira wa adhabu la kiungo wa Simba, Clatous Chotta Chama katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Horoya ya Guinea kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika limeteuliwa kuwa ‘Bao Bora la Wiki’.


  Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limemtaja kiungo Mahmoud Abdel Moneim Abdel Hamid Soliman, maarufu kama Mahmoud Kahraba kama Mchezaji Bora wa Wiki Ligi ya Mabingwa, lakini limelitambulisha bao la Chama Kama Bao Bora la Wiki.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA ASHINDA BAO BORA LA WIKI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top