• HABARI MPYA

  Sunday, March 19, 2023

  MWANASOKA BORA WA NCHI NA TUZO YAKE YA BMT


  KIPA wa Simba SC, Aishi Salum Manula akiwa ameinua tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kufuatia ushindi wa 7-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWANASOKA BORA WA NCHI NA TUZO YAKE YA BMT Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top