// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AITWA TIMU YA TAIFA URENO KUFUZU EURO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AITWA TIMU YA TAIFA URENO KUFUZU EURO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, March 21, 2023

    RONALDO AITWA TIMU YA TAIFA URENO KUFUZU EURO


    KOCHA mpya wa Ureno, Roberto Martínez amemjumuisha Cristiano Ronaldo (38) kwenye kikosi chake kwa ajili ya kufuzu Euro dhidi ya Liechtenstein Machi 23 huko Luxembourg.
    Hii itakuwa kazi ya kwanza kwa Roberto Martínez tangu achukue nafasi ya Fernando Santos baada ya fainali za Kombe la Dunia nchini Qatar walipotolewa na Morocco kwa kuchapwa 1-0 Desemba 10, mwaka jana. 
    Ronaldo, ambaye kwa sasa anachezea Al-Nassr ya Saudi Arabia anataka kutanua rekodi yake ya mabao timu ya taifa kutoka 118 ya sasa kupitia mechi hizi za Kundi J kufuzu Euro ambalo wapinzani wao wengine ni Bosnia-Herzegovina. Iceland na Slovakia.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AITWA TIMU YA TAIFA URENO KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top