• HABARI MPYA

  Tuesday, March 21, 2023

  FUNDI WA MPIRA FEISAL SALUM ABDALLAH MAZOEZINI TAIFA STARS LEO MISRI


  KIUNGO Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ akipiga mpira mbele ya beki, Bakari Nondo Mwamnyeto wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo mjini Ismaili nchini Misri kujiandaa na mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji, Uganda Ijumaa mjini humo.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FUNDI WA MPIRA FEISAL SALUM ABDALLAH MAZOEZINI TAIFA STARS LEO MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top