• HABARI MPYA

  Sunday, March 26, 2023

  KAPOMBE NA TSHABALALA WALIVYOANZA KUIPASHIA UGANDA LEO STARS


  MABEKI  wa Simba, Shomari Kapombe (juu) na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (chini) wakiwa mazoezini timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kurejeshwa kikosini leo kuelekea mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPOMBE NA TSHABALALA WALIVYOANZA KUIPASHIA UGANDA LEO STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top