• HABARI MPYA

  Friday, March 24, 2023

  LIGI YA ZANZIBAR YAUPISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

  SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF) limesimamisha Ligi Kuu ya Zanzibar kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
  Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi Zanzibar, Hashim Salum amesema Ligi hiyo maarufu kama PBZ Premier League inasimama rasmi kuanzia jana kupisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan na itarejea Mei 6, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI YA ZANZIBAR YAUPISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top