• HABARI MPYA

  Sunday, March 26, 2023

  AZAM FC WANA MECHI YA KIRAFIKI NA KMC KESHO CHAMAZI

  TIMU ya Azam FC kesho itateremka Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kumenyana na KMC katika mchezo wa kirafiki.
  Hiyo ni mechi maalum kwa Azam FC na KMC kujiweka sawa kwa mechi zake zijazo za Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Kwa Azam FC pia ni kujiandaa na mechi ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Mtibwa Sugar Aprili 3 hapo japo Chamazi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC WANA MECHI YA KIRAFIKI NA KMC KESHO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top