• HABARI MPYA

  Wednesday, March 22, 2023

  MASATU NA LUNYAMILA SIMBA NA YANGA MWAKA 1993 DAR


  Beki wa Simba SC, George Masatu akiwa ameruka kuwania mpira wa juu dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwaka 1993 Uwanja wa Taifa (Sasa Uhuru) Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASATU NA LUNYAMILA SIMBA NA YANGA MWAKA 1993 DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top