• HABARI MPYA

  Thursday, March 23, 2023

  BAO LA MAYELE DHIDI YA MONASTIR LAWA BORA CAF


  BAO alilofunga mshambuliaji Mkongo Fiston Kalala Mayele katika ushindi wa 2-0 dhidi ya US Monastirienne ya Tunisia Machi 19 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam limeteuliwa kuwa Bao Bora la Wiki kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
  Yanga iliibamiza Monastir 2-0 Machi 19, bao lingine akifunga Kennedy Musonda katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAO LA MAYELE DHIDI YA MONASTIR LAWA BORA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top