• HABARI MPYA

  Thursday, March 23, 2023

  AZAM FC YAICHAPA JKU 2-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


  WENYEJI, Azam FC jana wamepata ushindi wa 2-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar mabao ya Mkongo Idris Mbombo na mzawa, Yahya Zayid katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA JKU 2-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top