• HABARI MPYA

  Monday, March 27, 2023

  YANGA IMETOA WACHEZAJI WENGI ZAIDI TIMU ZA TAIFA


  KATIKA ukurasa wake rasmi wa Instagram, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeposti idadi ya wachezaji wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara walioitwa kwenye timu za zao Taifa.
  Katika orodha hiyo kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mabingwa wa Ligi Kuu, Yanga wanaongoza kwa kutoa jumla ya wachezaji 12, wakifuatiwa na watani, Simba 10.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA IMETOA WACHEZAJI WENGI ZAIDI TIMU ZA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top