SIMBA SC YAWASILI SALAMA CASABLANCA KUWAVAA RAJA KESHO
MSHAMBULIAJI Mkongo wa Simba, Jean Baleke baada ya kikosi kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mfalme Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco tayari kwa mchezo wa mwisho wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika dhdi ya wenyeji Raja Casablanca kesho.
0 comments:
Post a Comment