• HABARI MPYA

  Thursday, March 30, 2023

  MAYELE ANAWANIA KIATU CHA DHAHABU KOMBE LA CAF


  MSHAMBULIAJI Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele anashika nafasi ya pili katika orodha wa wafungaji wa mabao kuelekea mechi za mwisho za hatua ya makundi 
  Kombe la Shirikisho Afrika.
  Fiston Mayele tayari ana mabao matatu hadi sasa akiwa nyuma ya Mghana, Paul Acquah wa Rivers United ya Nigeria na Aubin Kramo Kouamé waASEC ya kwao, Ivory Coast.
  Tayari Mayele amekwishapa Yanga SC tiketi ya Robo Fainali Ligi ya Kombe la Shirikisho kabla ya mechi za mwisho wiki di hii.

  Player

  Team

  G

  P

  1st

   Rivers Utd

  4

  0

  2

   ASEC

  4

  0

  2

   Pyramids

  3

  0

  1

   Gallants

  3

  0

  0

   Young Africans

  3

  0

  2

   Monastir

  3

  0

  2

   Akhdar

  2

  0

  0

   Monastir

  2

  0

  1

   Pyramids

  2

  0

  2

   USM Alger

  2

  0

  1

   FAR Rabat

  2

  0

  1

   FAR Rabat

  2

  0

  1

   Réal Bamako

  2

  0

  1

   Young Africans

  2

  0

  2

   Gallants

  2

  0

  2

   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYELE ANAWANIA KIATU CHA DHAHABU KOMBE LA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top