• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2023

  RAIS HERSI AONGOZA WANA YANGA KUCHANGIA DAMU


  RAIS wa Yanga, Hersi Ally Said ameshiriki zoezi la uchangiaji damu makao makuu ya klabu, Jangwani ikiwa ni moja ya hamasa kwa mashabiki kujitokeza kwa wingi kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhid ya Monastir Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.


  Zoezi kama hilo likefanyika pia Hospitali ya Mloganzila.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS HERSI AONGOZA WANA YANGA KUCHANGIA DAMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top