• HABARI MPYA

  Tuesday, March 21, 2023

  NEW GENERATION MABINGWA LIGI YA WANAWAKE ZANZIBAR


  KATIBU wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Mapinduzi CCM, Khadija Salum Ali akiwakabidhi kombe Mabingwa wa Ligi ya Wanawake Zanzibar, klabu ya New Generation katika mchezo maalum uliyomalizika kwa kupata ushindi wa bao 5-0 dhidi ya UMZ jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.


  Hapa Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Khadija Salum Ali akimkabidhi Tuzo yake Mchezaji Bora wa Mechi hiyo, Warda Abdulhakim wa New Generation.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEW GENERATION MABINGWA LIGI YA WANAWAKE ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top