• HABARI MPYA

  Sunday, March 26, 2023

  MESSI APEWA HESHIMA YA KIPEKEE ARGENTINA


  GWIJI wa soka,
   Lionel Messi amepewaheshima na Chama cha Soka Argentina baada ya jana kusema kambi ya timu za taifa za nchi hiyo itajulikana kwa jina la nyota huyo wa PSG – ambayo ni hatuailiyochukuliwa na Rais wa AFA, Claudio Tapia.
  Sherehe za kutangaza hatua hiyo zilifanyika jana katika jingo hilo ambalo halijakamilika ambalo litakuwa linatumika kwa kambi za timu zote za taifa za nchi hiyo.
  Tapia, Messi na kocha Lionel Scaloni walifunua jiwe la Msingi la Shaba likiwa na majina kamili ya mchezaji huyo, Lionel Andrés Messi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APEWA HESHIMA YA KIPEKEE ARGENTINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top