• HABARI MPYA

  Tuesday, August 02, 2022

  BONDIA MTANZANIA AINGIA ROBO FAINALI MADOLA


  BONDIA Mtanzania, Yusuph Changalawe ametinga robo fainali ngumi za ridhaa uzito wa Light Heavy (kg 75-80) katika Michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Jijini   Birmingham baada ya kumshinda kwa pointi Curlin Richardson wa Visiwa vya Anguila usiku wa Jumatatu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONDIA MTANZANIA AINGIA ROBO FAINALI MADOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top