• HABARI MPYA

  Friday, April 01, 2022

  LIGI KUU YAREJEA LEO, UHONDO WOTE AZAM TV


  BAADA ya mapumziko ya wiki moja na ushei kupisha kalenda y mechi za kimataifa, Ligi Kuu ya Tanzania Bara inarejea leo kwa mchezo mmoja, Polisi Tanzania wakiwakaribisha Ruvu Shooting Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, ambayo itaonyeshwa LIVE na Azam Sports 1 HD kuanzia Saa 10:00 jioni.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIGI KUU YAREJEA LEO, UHONDO WOTE AZAM TV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top