• HABARI MPYA

  Friday, April 01, 2022

  MO DEWJI AMWAGIA MAJI MKUDE KAMBINI SIMBA


  RAIS wa Heshima wa Simba, Mohamed ‘Mo’ Dewji akimwagia maji kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude kama sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mchezaji huyo wa Kimataifa wa Tanzania.
  Mo Dewji alifanya hivyo baada ya kuwatembelea wachezaji kambini leo na kuzungumza nao kuelekea mchezo wao wa Jumapili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendamarie ya Niger.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MO DEWJI AMWAGIA MAJI MKUDE KAMBINI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top