• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 01, 2020

  MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI TFF, MCHUNGAHELA AJIUZULU BAADA YA KUPEWA MAJUKUMU MENGINE

  MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Malangwe Ally Mchungahela amejiuzulu wadhifa huo kufuatia kuteuliwa kuwa Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo za Klabu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI TFF, MCHUNGAHELA AJIUZULU BAADA YA KUPEWA MAJUKUMU MENGINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top