• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 09, 2020

  YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA KULIA CHIPUKIZI WA MTIBWA SUGAR, KIBWANA SHOMARY

  Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Patrick Simon (kulia) akiwa na beki Kibwana Ally Shomari (katikat) baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wana Jangwani akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA KULIA CHIPUKIZI WA MTIBWA SUGAR, KIBWANA SHOMARY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top