SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA LEO MWANZA
Nahodha wa Simba Queens, Mwanahamisi Omary 'Gaucho' akipokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara walilokabidhiwa leo baada ya mchezo wao dhidi ya TSC kwenye Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza
0 comments:
Post a Comment