• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 11, 2020

  MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA KLABU YA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA


  ALIYEKUWA kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA KLABU YA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top