• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 05, 2019

  CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 STAMFORD BRIDGE

  Wachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London wakitoka kufungwa mfululizo na Manchester City and West Ham. Mabao ya Chelsea yalfungwa na Tammy Abraham dakika ya 24 na Mason Mount dakika ya 48, wakati la Villa lilifungwa na Mahmoud Hassan 'Trezeguet' PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA ASTON VILLA 2-1 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top