• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 05, 2019

  RASHFORD APIGA ZOTE MBILI MAN UNTED YACHAPA 2-1 TOTTENHAM

  Marcus Rashford akishangila baada ya kuifungia bao la pili Manchester United kwa penalti dakika ya 49 baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Moussa Sissoko katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Rashford pia ndiye aliyefunga bao la kwanza la Man United kabla ya Dele Alli kuisawazishia Spurs dakika ya 39 kocha Mreno, Jose Mourinho mechi ya kwanza dhidi ya timu yake ya zamani akwa na Tottenham 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD APIGA ZOTE MBILI MAN UNTED YACHAPA 2-1 TOTTENHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top